BLOGI
HII INATUMIA KIFAA KINACHO FAHAMIKA KAMA ‘DISQUS’, UNAWEZA TEMBELEA UKURASA HUU
KUJIFUNZA JUU YA KIFAA HICHI NA FAIDA ZAKE, http://community.disqus.com/
HIKI NI
TOFAUTI KIDOGO NA VIFAA VINGINE VYA KUTOLEA MAONI KWENYE BLOGI NA MITANDAO
MINGINE, KWA SABABU CHENYEWE KINASIMAMA KAMA MOJA YA MITANDAO YA JAMII.
JKWA
VILE UTAKUWA UMESHATEMBELEA UKURASA HUO NILIO UTAJA HAPO JUU, SINA SABABU YA KUELEZEA
FAIDA ZAKE, HIVYO MOJA KWA MOJA NITAKWENDA KWENYE ‘KNOW HOW’
UNAPOFIKA
MWISHO WA POST ULIYO ICHAGUA KUSOMA, MATHALANI ULIKUWA UNASOMA POST HII, JE KANUMBA ALIWAHI KUWA NI FREEMASON?
MWISHO
KABISA WA POSTI UTAKUTANA NA VITU HIVI, WEKA
KASA YAKO KWENYE SEHEMU INAYO KUTAKA KUTOA MAONI ‘LEAVE A MASSAGE’..
KIDIRISHA
KILICHO ANDIKWA COMMENTS KITATANUKA ZAIDI NA KUONEKANA HIVI
CHAGUA
AKAUNTI AMBAYO INGEPENDA KUITUMIA KUWASILISHIA MAONI YAKO KATI YA HIZO ZINAZO
ONEKANA, KWA AJILI YA SOMO HILI MIMI NITACHAGUA AKAUNTI YANGU YA FACEBOOK,
HIVYO NITABOFYA PALIPO NA NEMBO YA FACEBOOK, KIDIRISHA HICHI HAPA KITATOKEA
NAMI NITAINGIA KWENYE AKAUNTI YANGU YA FACEBOOK,
BAADA
YA HAPO KWENYE KIBOKSI CHA ‘DISQUS’ CHA
KUTOLEA MAONI KITABADILIKA NAMI NITAKUWA NAONEKANA PALE NA AKAUNTI YANGU TAYARI
KABISA KUCHAPISHA MAONI YANGU KAMA HIVI
LAKINI
HAPO NI KWA YULE AMBAYE TAYARI ANAYO AKAUNTI NDANI YA ‘DISQUS’, TUASHUMU HAUNA
AKAUNTI NDANI YA DISQUS NA HIVYI NDIVYO ITAKAVYO KUWA
HAPA
NITATUMIA KAUNTI YANGU YA GMAIL AMBAYO HAIJASAJILIWA NA ‘DISQUS’, KABLA
SIJAKWENDA KWENYE KIBOKSI CHA KUTOA MAONI KWANZA INAIFUNGUA AKAUNTI YANGU HIYO
KWENYE UKURASA MWINGINE, YAANI NA LOG IN KWENYE AKAUNTI YANGU YA GMAIL KABISA,
KISHA NARUDI KWENYE KIBOKSI CHA KUTOA MAONI, NA NITAKAPO BOFYA KWENYE ALAMA YA ‘g’
HICHI NDICHO KITAKACHO TOKEA.
IKIWA HAUJAIFUNGUA AKAUNTI YAKO KATIKA UKURASA MWINGINE, HICHO HAPO JUU, NDICHO KITAKACHO ONEKANA.
LAKINI ENDAPO ULISHAIFUNGUA AKAUNTI YAKO KWENYE UKURASA MWINGINE, HICHI NDICHO UTAKACHO KIONA, MOJA KWA MOJA BOFYA KWENYE 'ACCEPT'
KUMBUKA HUNA AKAUNTI NA DISQUS, HIVYO ITAKUTA UJISAJILI KAMA IFUATAVYO.
Utakacho
fanya ni kuingiza PASSWORD yako kwa ajili ya akaunti ya ‘DISQUS’ na baada ya
hapo utakuwa umemaliza, kidirisha hicho kitaondoka na utaona akaunti yako ndani
ya kiboksi cha kutolea maoni cha DISQUS NA UTATOA MAONI YAKO KWA RAHA ZAKO.
UWANJA NI WAKO SASA .... TOA MAONI YAKO KUHUSIANA NA POST ZA BLOGI HII
If you wish for to increase your familiarity just keep visiting this web site and be updated with the hottest information posted here.
ReplyDeleteMy blog post white board paint
I got this web page from my buddy who told me regarding this web page and now
ReplyDeletethis time I am visiting this site and reading very informative posts at this time.
Also visit my website :: gogol
You are so interesting! I do not think I have read through anything like this before.
ReplyDeleteSo nice to discover someone with some genuine thoughts on this topic.
Really.. many thanks for starting this up.
This site is one thing that's needed on the internet,
someone with a little originality!
Feel free to surf to my homepage ... ceratocone ()
Hi colleagues, its fantastic piece of writing regarding educationand completely explained, keep it up all the time.
ReplyDeleteTake a look at my page - sbobet
First օff I would like to say wonderful blog! I had a quick question in which I'd like
ReplyDeleteto ask if you don't mind. I was interеsted to know how you center yourself and clear your head
pгioг to writing. I've had a tough time clearing my thoughtѕ in getting my ideas out.
I truly do take pleasure in writing however it just seemѕ like tҺe first 10 to
15 minutes are lost simply just trying to figurе out how to begin.
Anʏ recommenɗations or tipѕ? Thanks!
My page - temp2