Watu
wachache kabisa na wamiliki wa kampuni chache tu, lakini kampuni kubwa mno
duniani, watu hao nyuma ya kampuni hizi wanafanya kila wawezalo usiku na mchana
kumiliki kila punje ya mbegu iliyopo kwenye uso wa dunia.
Msukumo
wa mbegu za kisasa dhidi ya zile za asili ni mkubwa mno katika dunia ya leo
kupitia matangazo ya biashara na taasisi za kiserikali. Kiasi kwamba inaonekana
tegemeo la dunia ijayo kwenye chakula lipo kwenye mbegu za kisasa pekee.
Hitajio la viwanda na uroho, ulafi wa watu
wachache kutaka kumiliki uzalishaji wa mbegu zote duniani kupitia makampuni yao
ya kimasonia. Ili kamapuni hizo kujihakikishia umiliki wa mbegu zote duniani
ndipo walipo kuja na wazo la GMO (GENETIC MODIFIED seeds, crops, animals etc)
Mbegu hizi za kisasa zinawazuia wakulima kuotesha mbegu zao wenyewe, kila msimu
wa kilimo lazima ukanunue mbegu mpya.
Moja ya
matatizo makubwa kwenye uso wa dunia ya leo ni njaa, ambayo imeenea katika kila
kona ya dunia, na nchi ambazo zipo kwenye umasikini wa kutupwa pamoja na njaa
kwa wananchi wake ndizo nchi zinazo ongoza kwa kusafirisha chakula nje ya
mipaka yake.
GMO
nazo siyo suluhisho kwenye tatizo ambalo tunalo, bali ni mafuta kwenye moto
unao waka.
Dhana
kuwa utapiamlo unasababishwa na vyakula ambavyo havina ‘ubora’ kutokana na
kutumiwa kwa mbegu ambazo si za kisasa ni uwongo na ni siasa mbaya mno
kuiingiza kwenye chakula, kwani sote tunajua kinacho sababisha utapiamlo ni
kutopatikana kwa vyakula vyenye virutubisho mbalimbali kwa mlaji na hata kidogo
siyo suala la kutokutumia mbegu za GMO.
Wanacho
hitaji wakulima wetu siyo mbegu za GMO, bali ni aridhi ya rutuba na nguvu ya
kiuchumi, ilikuweza kuifanya kazi yao katika ubora wa hali ya juu. Kuwagawia
wakulima mbegu za GMO, hata kidogo zoezi hilo haliwezi kuwa ndiyo suluhisho la
njaa duniani, wala mbegu hizo haziwezi kuilisha dunia, hivyo sababu hiyo
haiwezi kutumika kama uchochoro wa kujinadi kuwa mbegu hizi zitawalisha watu
masikini.
Kilimo hichi kinacho tegemea mbegu za GMO ni
mfumo ambao unawanyonya wakulima wadogo na wakubwa na kujinenepesha wenyewe,
kujilisha wenyewe badala ya mfumo kuwanenepesha wakulima wadogo na kuwalisha
watu wa nchi zinazo endelea. Hii ni aina nyingine ya unyonyaji ambayo muda si
mrefu wakulima wetu watajikuta ana kwa ana wakipambana na jinamizi hili kukomba
aridhi zao.
Bill
Gate anasema kuwa malengo makubwa ya Gate Foundation ni kupambana na njaa
duniani kote, na silaha aliyoichagua kwenye vita hivyo siyo nyingine bali ni
mbegu za GMO.
Mwaka
2010 GATE alinunua Share 500,000 kwenye kampuni ambayo inahusika na kutengeneza
na kusambaza mbegu hizi za GMO kote duniani, na kwa kupitia ‘wanasayansi’ ambao
tayari wapo kwenye mfuko wa suruali ya Gate, akatangaza kuwa ‘wanasayansi’ 900
wamethibitisha kuwa mbegu hizo zinafaa kupambana na baa la njaa kote duniani.
Lakini
ukweli ni mwingine kabisa, mwaka 2008 wanasayani hao hao walitangaza kuwa mbegu
hizo siyo suluhisho la tatizo la njaa duniani, na Bill Gate kama mdau mkubwa
kwenye hilo alikuwa akifahamu ukweli huo, lakini waziwazi mwaka 2010 akaja na
kauli tofauti ya wanasayansi hao na kuudanganya uma, kwa nini Bill ??????????
Lakini
si hivyo tu, Gate alishafahamu KUPITIA KWA WANASAYANSI HAO kuwa GMO zinayo
madhara kwenye viungo vya mwili, viungo vya ndani ya mwili kama ini, figo na
vingine, GMO zinayo madhara kiafya, lakini Gate akapigia kimya yote hayo.... na
juu ya yote akasema uwongo na kuwasingizia wanasayansi 900 ... Duh.
Lakini
tukija kwenye mazingira halisi, dunia ni tofauti kabisa. Maelfu ya wakulima
WAMEJIUWA kutokana na gharama kubwa kupitiliza walizo shindwa kuzimudu kupitia
kilimo cha mbegu za kisasa za GMO na ambazo zilishindwa pia kuzalisha kiwango
cha mazao kilicho takiwa.
Kupitia
World Bank na United Nations, wakatoa mafungu ya kutosha na kutengeneza taasisi
waliyoiita International Assessment of Agricultural Knowledge, Science and
Technology for Development (IAASTD). Taasisi hii ikawa ndani yake inajumuisha
wanasayansi takribani 900, ambao walipewa jukumu zito la kusimamia na kutizama
suala zima la njaa duniani na ni vipi litaweza kutokomezwa, ingawa kazi waliyo
pewa ni nzito, hata kidogo majibu yao hayakuwa mazito katika kutoa suluhu ya
janga lenyewe.
Juu ya
yote majibu yao yakaja kugeuzwa kichwa chini miguu juu na bilionea Bill Gate.
Umoja
wa Ulaya nao wamekuja na sheria nyingine yenye mkanganyiko, sheria hiyo
inazikusanya mbegu zote za asili walizo nazo wakulima na kuwapatia mbegu mpya
za viwandani, sheria hiyo inawataka ni lazima watumie mbegu za viwandani na
siyo asilia. Suala hili liko wazi katika nchi zetu zinazoendelea, tumeambiwa
kuwa ili bidhaa zetu ziwe na ubora na ili ziweze kushindana katika soko la
kimataifa basi hatuna budi kutumia aina fulani ya mbegu, aina fulani ya dawa za
kilimo na aina fulani ya mfumo wa kilimo, lakini vyote hivyo vimejaa sumu
kuliko virutubisho, cha ajabu pamoja na kufuata maelekezo yote hayo bado ni
sehemu ndogo tu ya bidhaa hizo tunayouza nje nyingine inabaki hapa, hapa
tunaitumia wenyewe, Freemasons wanahakikisha tunajimaliza wenyewe kwa sumu
walizo tupatia.
Oktoba
15, 2009, Bill Gates mwenyekiti mwenza wa Gates Foundation alitangaza mchango
wa dola za Marekani milioni 120 katika kusaidia kile kinacho fahamika kama
‘Green Revolution in Africa’. Kitu hichi Green Revolution in Africa; kama
ilivyokuwa wakati wa Nyerere alivyo danganywa na Freemasons wa Asia na Ulaya na
kuunga mkono sera za Ujamaa na Kujitegemea, ambazo zimeipatia taifa la Tanzania
mpaka hivi leo kilema cha uchumi, vifo vya viwanda na kudumaa kwa sekta binafsi
na kuwafanya wananchi wake kula ugali wa njano, sera ambazo Ethiopia iliishia
kusababisha vifo visivyo na idadi kwa wananchi wake kutokana na njaa.
Leo hii Tanzania bado tukiwa na majeraha yale, yale ya uchumi, kidonda bado hakija kauka, viwanda bado havina matumaini ya kunyanyuka na sekta binafsi zikijaribu kujikongoja, watu wale, wale, Freemasons wakiwa na ajenda ile, ile lakini katika sura tofauti, wametuletea ‘Green Revolution for Africa’. Kwa sababu ya mizigo ya madeni tuliyo shindwa kuilipa na wananchi tukadanganywa kuwa eti madeni hayo yamesamehewa, nchi kama Tanzania na nyinginezo tunakuwa tayari tupo kwenye mazingira ambayo hatuwezi kukwepa chochote kinacholetwa na bwana hawa wakubwa.
Unamkumbuka ‘Economic Hit Man?’ Haya ndiyo madhara yake, Kwa hiyo leo kwa kupitia ‘Green Revolution,’ Tanzania tumepewa ‘Kilimo Kwanza’. Jina zuri eeeh, kama vile la ‘Ujamaa na Kujitegemea’ au siyo. Subirini muda tu punde tutaona mahali ambapo ‘Kilimo Kwanza’ kitakapo topelekea, ni kubaya zaidi kushinda pale tulipo achwa na ‘Sera za Ujamaa na Kujitegemea’.

Kumbuka
sera hizi siyo za viongozi wetu. ‘Ujamaa na Kujitegemea’ hazikuwa sera za
Mwalimu Nyerere, wala Azimio la Arusha hazikuwa sera zake, lakini kwa ajili ya
kujifaragua kwa wananchi wake, akidhani ni sera bora zitakazo muimarisha
kisiasa, alizifuta na kuzichukua kama za kwake.
Lakini ukweli ni kuwa sera hizo alimegewa na mabwana wakubwa wenye malengo tofauti na jina la sera zao. Sera za ‘Kilimo Kwanza’ siyo za Jakaya Kikwete, naye kapewa kama alivyo megewa Mwalimu Nyerere, lakini zote lengo la sera hizo ni moja, na mpishi wa sera hizo ni mmoja, Freemasons.

Green
Revolution imeasisiwa na Gate Foundation mwaka 2006, kwa ajili ya kumbukumbu
tu, Bill Gates ni Freemasons wa daraja la 33. Green Revolution ilitengenezwa
kwa malengo ya kuhakikisha wakulima wadogo, wadogo wanapata mitaji ya
kuwawezesha kujilisha wenyewe na watu wao. Unalionaje lengo hilo, zuri eeeh.
Kwa sababu hapa Afrika inapata mitaji ambayo ilikuwa ikiihitaji kwa muda mrefu.
Lakini kama zilivyo ajenda zote za hawa jamaa, lazima maneno mazuri hayo, au
picha nzuri hiyo, nyuma yake, chini yake, kunayo jinamizi lilifichwa na sura
nzuri za jamaa hawa.
Gate
Foundation ni mpiganaji namba moja anaye hakikisha kuwa mbegu za kisasa, kutoka
viwandani, mbegu zisizo za asili kabisa yaani ‘Genetically Modified Seed’ (GMS)
zinapatikana dunia nzima, mbegu hizi zinayo madhara maradufu kuliko faida.
Gates wametajwa kutoa dola bilioni 1.4 kusaidia nchi masikini katika kilimo cha Green Revolution. Sura nyingine zilizomo katika mstari wa mbele wa kuhakikisha tunapata mbegu za kisasa, na misaada mbayo mbeleni itageuka ni kitanzi cha kutunyongea na kamba ya kutuburuta kokote wanapo pataka ni Rockefeller Foundation, Monsanto Foundation na Syngenta Foundation pamoja na serikali ya Norway. Unaonaje, sura ni zile, zile utakazo kuta kwenye sera ya uzazi wa mpango, ni zilezile utakazokuta kwenye haki za watoto, ni zilezile utakazozikuta kwenye haki za wanawake, haki za mashoga na kwengineko, jamani hatushtukii ndugu zangu wa kiafrikaaaaaa!!!!!
Inauma sana jamani.

Serikali
ya Norway ni moja ya wachangiaji wakubwa katika kile kinacho fahamika kama
Svalbard Global Seed Vault inayo patikana kwenye milima ya Icy, Norway.
Mradi
huu ulikamika mnamo mwaka 2008, ambapo chini ya aridhi wamejenga ghala kubwa
mno linalotumika kuhifadhia mbegu za kila aina ya nafaka na mimea. Wakulima na
taasisi mbalimbali kote duniani wamekuwa wakishiriki katika kupeleka mbegu za
asili katika hazina hiyo.
Eti wanasem pale ambapo mazingira yatabadilika na kusababisha madhara makubwa kwenye uoto wa asili basi mbegu hizo zitatufaa, mbona basi wasiziweke kwenye hazina hiyo hizo mbegu za kisasa kama kweli ni nzuri?

Dunia
nzima itakapo kuwa inaegemea bidhaa hizi za viwandani, hasa hizi mbegu tunazo
danganywa ni za kisasa, ambazo madhara yake ni makubwa zaidi, hawa mabwana
wakubwa, watatumia mbegu za asili kwa faida yao wenyewe, hawa mabwana wakubwa
watakapo zidi kuiharibu aridhi mpaka ishindwe kuzalisha tena mbegu za asili kwa
namna yoyote wanayo fahamu, bado wao watakuwa salama, kwakuwa sehemu fulani
kwenye uso wa dunia wana benki yao iliyo kusanya mbegu zote za asili kutoka
duniani kote.
Bill
Gate ni Freemasons, kama walivyo Freemasons wengine, ambao wako madaraja ya juu
na ajenda wanaifahamu vyema, hata kwa sekunde moja hawana nia nzuri, au roho
nzuri ya ukarimu juu ya viumbe wengine, tena hasa binaadam wenzao, hawana,
lengo lao ni kuwa matajiri zaidi na zaidi kwa gharama za watu masikini.
Wakulima na vinchi vyao masikini watazama kwenye mtego wa madeni makubwa kutoka
kwa Gate Foundation.
Wakulima wadogowadogo itawalazimu kununua mbegu hizi, kununua aina yake ya mbolea na kununua dawa zake na kila kile chenye kuja na mbegu hizi. Gate Foundation na wenzake bila huruma wanaendelea kumkamua mkulima huyu mdogo na ka – nchi kaake mpaka tone la mwisho la damu yake, mpaka akauke kabisa. Halafu ukifa wanakuja kuchukua aridhi yako.

Utadhani
nazungumzia habari za kufikirika, lakini kabla hujafika huko, turudi India
mwaka 2008. Oktoba mpaka Disemba mwaka huo dunia ilishuhudia maelfu ya wakulima
wa India wakijiua wenyewe kwa kutumia vitu mbalimbali. Unajua ni nini kilicho
sababisha wakulima hawa wa India wakajiua wenyewe? Ilikuwa ni baada ya kutumia
mbegu hizi za kisasa kwenye kilimo chao maarufu cha mchele, baadaye jinamizi
lilijificha nyuma ya sera hizi nzuri kama za kilimo kwanza likajitokeza,
hawakuweza kulipa madeni kutoka kwenye Foundation hizi kama za Bill Gate na
kilicho fuatiwa walinyang’anywa mashamba yao, na wao hawakuwa na la kufanya
isipokuwa kujilazimisha kufa. Walijiua.
Ukiachilia
mbali kunyang’anywa aridhi, kuachilia mbali madhara mbegu hizi zinazotuachia
kwenye miili yetu baada ya kutumia nafaka zake, mbegu hizi pia zinaweza
kuifanya aridhi kuwa ni tasa katika uzalishaji kwa miaka 10. Na ikiwa kwa miaka
10 aridhi yako haitaweza kutoa kitu, jiulize mkulima atapatia wapi fedha za kuweza
kulipa mikopo yake, hapo ndipo jamaa wanapokuja na kuichukua aridhi yako.
Nchi za
Ulaya bado kwa kiasi kikubwa zinaitegemea Afrika kwa malighafi, tunajua
walizibeba kwa wingi sana wakati wa ukoloni na hata baada ya uhuru waliendelea
kufanya hivyo kwa kupitia viongozi ambao wengi walikuwa ni vibaraka wao, ambao
waliwapatia nchi hizi baada ya uhuru, na wale ambao waliwapinga na kukataa kuwa
vibaraka waliuwawa kwa namna mbalimbali, sote tunajua hili, walio bakizwa
madarakani ni wale waliokubali kwenda sambamba na sera zao, na wao
wakazifikisha nchi zetu hapa zilipo.
Hivyo nchi nyingi za Ulaya na Marekani si kwamba tu zinatizama bara hili la Afrika kama sehemu ya kuchota rasilimali mbalimbali, lakini pia kama shamba ambalo watakuja kupanda mazao yao mbalimbali na kuyasafirisha kwenda katika nchi zao. Ndiyo maana Green Revolution inafanya kazi nzuri ya kuwapokonya wakulima wadogowadogo aridhi zao.

Katika
vita hivi vya kutunyang’anya aridhi zetu, Gate Foundation, nyuma ya Bill Gate
anayetoa mabilioni ya dola zake huku akitabasamu ili aonekane ni malaika na
binaadam mzuri kushinda wote mwenye moyo wa pekee katika kuisaidia Afrika, huyu
ndiye askari mwenye bunduki iliyo jaa risasi za mbegu za kisasa kwa ajili ya
kutuangamiza ili aweze kuchakua aridhi zetu juu ya miili yetu iliyo lala kwenye
aridhi yetu ikiwa imekauka kwa njaa kutokana na aridhi yetu kufanywa tasa na
risasi za mbegu za kisasa kutoka kwenye bunduki ya Bill Gate na wenzake.
Tunazitaka
aridhi zetu, na mbegu zetu, na lazima tuseme hapana kwa ‘Kilimo Kwanza’ na kila
chenye kuletwa na kilimo kwanza. Na kila mtu ajue sipingi hata kwa sekunde moja
shughuli za kilimo, ila napinga kilimo nyuma ya Green Revolution na watoto wa
Green Revolution ambao kilimo kwanza ni mmoja wao.
Kama
ubinafsi ni dhambi, basi tufanye ubinafsi ni dhambi yetu wa Afrika wote, lazima
tuwe wabinafsi na aridhi zetu dhidi ya mipango ya serikali ya kutaka kuzitoa
aridhi zetu kwa wageni ili waweze kuzalisha mazao na kuyasafirisha kwao. Afrika
lazima ibaki huru na mbegu zake za asili za kilimo na mfumo wake wa kilimo.
Asilimia 55 ya aridhi yote Afrika leo hii haifai kwa kilimo baada ya kulimwa kwa miaka mingi aina moja ya mazao kwa ajili ya watu wa Ulaya na Marekani. Aridhi hiyo imekuwa ni tasa na Mwafrika bado anavaa suruali yenye viraka matakoni, wakati Bill Gate na wenzake wanatembelea ‘Private Jet’.

dah! Kazi nzuri mm kama agricultural officer ninakubaliana na ww kwani wananchi wameongezewa gharama za uzalishaji kwa kutegemea hizo mbegu.
ReplyDeleteNimefurahi kazi yangu kusomwa na afisa wa kilimo, nami pia nina swali kwako naomba unisaidie, swali lenyewe ni kuhusiana na balaa lililowakuta wakulima wetu hasa kwenye mahindi katika mwaka huu 2013, unadhani huo ugonjwa ni kitu gani?, je ni asili kutoka kwenye mazingira au umesababbishwa na mbegu? Je nyie kama maafisa wa kilimo mlikuwa mnajua kuwa balaa hilo lingetokea kwa sababu zozote zile? ni Hayo tu ...
ReplyDelete