VIPI WAPENDWA WANGU, TUNAENDELEA TENA NA HADITHI YETU YA KUSISIMUA, LEO KATIKA SEHEMU YA NNE YA MTANANGE HUU TUTATUPIA JICHO MBINU CHACHE ZINAZO TUMIWA NA MAADUI ZETU KUFANIKISHA MPANGO WAO KAMAMBE DHIDI YETU ...
Wananchi
hawawezi kusimama tu na kuwaachia watu wengine maaisha yao wayatawalie, kabisa
haiwezekani kuona hilo linatokea, labda jambo hilo liwe linafanyika kwa namna
ambayo binadam wenyewe hatulielewi. Sehemu ya ajenda hii ya kuwatawalia watu
imewekwa kwa namna ambayo wanachi wenyewe, wanasukuma gurudumu la kuelekea
kwenye kituo cha kuuza uhuru wao kwa hiyari. Kiuhakika kila tunapo peleka fedha
zetu benki, ni kama tunawapatia maadui zetu nguvu zaidi uwezo wa kuendelea
kutupora uhuru na mali zetu. Wametufanya tuamini kuwa si kwamba tu sisi
hatuwezi kufanya chochote bila wao, lakini kile ambacho ni kizuri kwao ni
kizuri kwetu pia.
Illuminanti
pia wanatumia mianya na kutengeneza matukio ya kutisha kwa ajili ya kuendeleza
au kutengeneza mazingira ya kufanikisha ajenda yao. Wanaweza kufanya hivyo kwa
kutumia mbinu kama vile ‘PROBLEM-REACTION-SOLUTION’ na nyinginezo ambazo
tuatazitupia jicho hapa.
Mathalani,
njia ile ya Preoblem-reaction-solution, huwa inafanyika kwa namna ifuatayo,
wanatengeneza tatizo, au wanalikuza tatizo kupitia vyombo vya habari au kwa
kutokufanya chochote tatizo linapo tokea. Kisha baada ya hatua hiyo wanatumia
vyombo vyao vya habari kuweka mazingira amabyo yatapaza sauti ya kutaka kuwepo
na suluhu ya tatizo. Lakini suluhu ambayo wao walisha iandaa kabla ya tatizo
kutokea, na wanacho fanya sasa ni kurubuni maawazo ya watu kukubaliana na
suluhu hiyo. Kisha baada ya hatua hiyo ya kurubuni mawazo ya watu, kinacho
fuata sasa ni kutekeleza suluhu ambayo wao wameipendekeza kwa wananchi na
imeonekana kukubalika, lakini kinacho fanya suluhu hiyo ni kuwaongezea wao
nguvu na madaraka zaidi juu ya maisha yetu ya kila siku, Mfano mzuri wa njia
hii ni 9/11 ambayo baada ya hapo kilicho fuata ni VITA DHIDI YA UGAIDI.
KILA LEO, KILA AINA YA USHAHIDI UNAZIDI KUMIMINIKA AMBAO UNAPINGANA NA HADITHI YA SERIKALI YA MAREKANI, AMBAO UNASEMA NI UONGOZI WA BUSH MWENYEWE NDIYO ULIOSHUGHULIKIA NA KUFANIKISHWA KULIPULIWA KWA MINARA HIYO MIWILI, PENTAGON NA BUILDING 7.
NJIA
NYINGINE WANAYO TUMIA MAADUI ZETU NI ‘FALSE FLAG OPEREATIONS’
Hii ni njia
nyingine kali sana ya kurubuni mawazo ya watu na kuyapeleka kule ambako maadui
zetu wanapo pataka, njia hii hutumika kufanya uvamizi, uhalifu na uharibifu kwa
kutumia ‘NEMBO,’ ‘BENDERA,’ au ‘ALAMA YA ADUI YAKO’ Ilikuweza kupotosha jamii kuwa
ni adui yako ndiye aliyefanya hivyo, ni adui yako ndiye aliyevamia pale, wakati
KIUHAKIKA NI WEWE NDIYE uliyefanya hilo. Aaina hii ya mbinu huwawezesha maadui
zetu kuweza kupora malighafi, kutengeneza faida kubwa kutokana na vita, na pia
kutupora haki na uhuru wetu. Mfano wa mbinu hii ni,
9/11
Inaingia tena hapa.
WW1- Vita
hivi vilianzidhwa kwa shambaulizi la ‘kigaidi’ la uwongo kwa vile walio fanya
shambulizi hilo ni wao wenyewe kwa kumuuwa, Franz Ferdinand Archiduke wa
Austria, muuwaji alikuwa ni Myahudi, freemasonry wa daraja la 33.
ARCHIDUKE MUDA MFUPI KABLA YA KUPIGWA RISASI ILIYO PELEKEA DUNIA KUTUMBUKIA KWENYE WWI.
The
Lusitania – Meli ya Marekani ambayo mwaka 1915 ilisafiri na kupita kwenye eneo
la maadui na ikiwa imebebeshwa vifaa vya kivita kutokwa kwa J.P Morgan. Meli
hiyo iliposhambuliwa na boti za Ujerumani na kusababisha vifo vya maelfu ya
abiria wa Marekani, hii ilikuwa ni sababu tosha ya kuisukuma Marekani kwenye
vita hivyo, lakini huu ulikuwa ni mpango wa familia za kibenki kuhakikisha
Marekani inashiriki vita hivyo vya Ulaya, kwa sababu kwa upande wao vita ni
aina nyingine ya biashara nzuri tu.
THE LUSITANI IKIZAMA BAADA YA KUPIGWA
HITLER-
Mwenye damu ya siri toka kwenye familia ya Rothschild, alilichoma moto jingo lake
mwenyewe la kiserikali, mwaka 1933 na chama chake cha NAZI, kikapitisha sharia ya
dharura kwa ajili ya kupambana na UGAIDI huo, sharia hiyo haikufanya chcochote
zaidi ya kuwapora wananchi haki na uhuru wake.
WWII-
Ilianza baada ya pale Ujerumani ilipo lipua moja ya redio zake na kuwarushia
lawama maadui zake, kama alivyo fany kwenye jingo lake.
MJENGO WA HITLER UKITEKETEA KWA BOMU ALILOLIPUA HITLER MWENYEWE.
KIKARAGOSI HICHO KINAWAONESHA VIONGOZI WAWILI, KUTOKA NCHIMBILI TOFAUTI, KATIKA VIPINDI VIWILI TOFAUTI VYA HISTORIA, WAKITUMIA MBINU MOJA KUTEKELEZA AJENDA ZAO ZA SIRI.
OPEREATION
NORTHWOODS- Mwaka 1962 CIA walikuwa na mango wao wa siri ambao sasa taarifa
hizo ni ‘UNCLASSIFIED’ na zimeandikwa kwa kina kuwa CIA walipaka ndege kwa
rangi za RED CROSS, na kasha wanazitungua zikiwa angani halafu wanamrushia lawama,
Castro, ili wapate kisingizio cha kuivamia CUBA, Rais Kennedy hakukubalina na
mpango huo, nah ii ni moja ya sababu nyingine tunayo weza kuiongeza kwenye kifo
chake.
‘DAIMA NI
RAHISI MNO KUWAVUTA WETU KWENYE MATAKWA YA VIONGOZI WA, UNACHOTAKIWA KUFANYA NI
KUWAAMBIA KUWA TUMEVAMIWA, NATUMIA UFASHISIT KAMA NDIYO UZALENDO, NA IWEKE NCHI
KWENYE HALI YA HATARI (NA WANACHI WATAKUUNGA MKONO)’ (Herman Goering, muhalifu
wa kivita kutoka NAZI)
‘WATU NI
VILEMA WA KUFIKIRI NA HAWEZI KUKUBALIANA NA KUWEPO KWA NJAMA HIZI, HATA PALE
WANAPO KUTANA USO KWA USO NA USHAHIDI WA KUWEPO KWAKE, BADO HAWATOAMINI JUU YA
KUWEPO KWAKE (J. Edgar Hoover, aliyekuwa kiongozi wa CIA, Katika mapambano
dhidi ya watu weusi ndani ya Marekani, alihakikisha kila mtu mweusi anakuwa ni
muathirika wa dawa za kulevyia, lengo ilikuwa ni kuhakikisha hapatikani
kiongozi mmoja ambaye atasimama dhidi ya watu weusi ‘Black Masiah’ alihakikisha
hazaliwi au hapatikani mtu huyo, na wale wachache walio epuka mtego wa dawa za
kulevyia ulio wekwa na CIA, walikutwa na matundu ya risasi vichwani mwao kama
Martin Luther King, Malcom X, 2Pac Shakur na wengine na wengine..)
ITAENDELEA ...
No comments:
Post a Comment