Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Wednesday, August 24, 2016

MALKIA HILLARY, MRITHI WA MFALME OBAMA


Katika posti iliyo tangulia ya ‘MFALME OBAMA’ tumeona mchezo unao itwa ‘siasa’ na ‘demokrasi’ unavyo igizwa kwenye majukwaa na mawazo ya watu kurubuniwa ‘kuhalalisha’ mgombea kushinda kupitia kile kinacho itwa kura.

Monday, August 15, 2016

MFALME OBAMA: Ep 4 finito



Siasa kama ulivyo mchezo wowote kuna wachezaji, kuna wachezeshaji na bila kusahau wachezeshwaji, mara nyingi wachezeshaji katika mchezo huu ndiyo wachezaji, na wale ambao tunadhani ni wachezaji ndiyo wachezeshwaji. 

Monday, August 8, 2016

MFALME OBAMA: Ep 3



The First Gay President, ndiyo habari iliyo kuwa imebeba jaridal la Newsweek, muandishi alijikita zaidi kwenye mtazamo wa Obama juu ya ndoa za jinsia moja, hata hivyo  habari zenyewe zilikuwa ni kama moshi kwenye moto unao waka chini. 

Friday, August 5, 2016

MFALME OBAMA: Ep 2


Mungu anapo wateuwa mitume wanakuwa wanatoka katika mkondo wa damu maalum, anakuwa chini ya uangalizi wa Muumba wake kuanzia maisha ya wazee wake, maisha yake akiwa tomboni, utoto wake, ujana wake mpaka anapo kabiziwa jukumu hilo zito na tukufu kwa ajili ya kuwaongoza watu wake.