Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Thursday, December 24, 2015

DOLA YA KISHETANI NA USHOGA Ep. 4


Leo tunatizama namna ushoga unavyo fundishwa kwa watoto...

 WATOTO WANAFUNDISHWA USHOGA BILA IDHINI YA WAZAZI WAO.

Silka ya kumlinda mtoto ni imara kiasi ambacho hata mzazi ikibidi kutoa uhai wake kwa ajili ya hilo, atafanya. Silka hiyo si tu kwenye uhai wa mtoto lakini pia mpaka kwenye tabia za mtoto. Wazazi makini wanalitazama hili la maadili ya watoto wao tangu wakiwa wachanga na kuweka msimamo ulio nyooka kwamba njia tunayo taka upite ni hii na siyo ile. 

Monday, December 14, 2015

DOLA YA KISHETANI NA USHOGA Ep. 3

Uwongo ndiyo uti wa mgongo na moyo wa agenda hii ya Ushoga.


Daktari analizungumzia hili la kinasaba cha ushoga.

Leo tunatizama uongo wa kusema ‘USHOGA NI MAUMBILE YA ASILI’ au ‘USHOGA UPO KWENYE VINASABA ‘DNA’ ZA BINADAM.
Huo ni urongo kama tutakavyo ona.

Friday, December 4, 2015

SAFARI YA WWIII NA SHAMBULIZI LA PARIS

POST YA 'DOLA YA KISHETANI NA USHOGA' BADO INAENDELEA NIMEIKATIZA KIDOGO NI WAPE UP DATE ZA SHAMBULIZI LA PARIS ... 


NATO inagonga hodi Syria!
Wakati vilio na majonzi vikiendelea ufaransa na lawama zikirushwa kutoka kila kona ya Dunia kuelekea kwa ‘magaidi’, na mpenda amani ukibaki na kizingimkuti kutokujua kipi ni kipi katika zama hizi ngeni kihistoria, hatuna budi kulitizama tukio hilo kwa jicho jingine ili kuweza kupata ukweli wa mambo.