Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Sunday, May 18, 2014

BOKO HARAM MSHIRIKA WA MAREKANI NIGERIA


Wakati wa utawala wa Bush, ndani ya Nigeria kulianzishwa kile kilicho fahamika kama ACRI, yaani Africa Response Initiative, lakini taasisi hii ilikuwa kama msimamizi wa taasisi nyingine inayofahamika kama ECOWAS au zaidi ilifahamika kama ECOMOG, kutokana na shughuli yake iliyofanyika Liberia ya kutuliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.


Nigeria ndani ya ECOMOG mchango wake ulionekana waziwazi, Nigeria iliweza kulimaliza sakata lile la Liberia bila msaada wowote kutoka kwenye taasisi za kimataifa na mataifa ya kimagharibi wala Washington. Taarifa za kijasusi kwenye mataifa ya Magharibi zinasema, mataifa hayo yalihofia endapo Nigeria itaendelea kuyamaliza matatizo yake na nchi jirani kwa kutumia ECOMOG, tafasiri yake ni kwamba, Nigeria itapata heshima kubwa ndani ya Afrika kiasi kwamba umuhimu wa mataifa ya kikoloni eneo hilo kama vile Uingereza na Ufaransa ukatoweka kabisa. Hivyo ushawishi wa mataifa hayo ya kimagharibi ukawa si chochote si lolote kwenye eneo hilo la Afrika Magharibi.

Thursday, May 15, 2014

WASHINGTON NYUMA YA BOKO HARAM

WAKATI UKIPITIA POSTI HII NA MFANO WA HIZI NAKUOMBA UTAFAKARI MANENO HAYO YA PLATO.

Guys!

Nasikitika mwendelezo wa posti ya ‘PICHA ZA UCHI NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME, utaendelea baada ya posti moja au mbili za KISANGA CHA ‘BOKO HARAM’,
Umma umekuwa katika kiza na lindi la ujinga kiasi ambacho hatuwezi kutofautisha katika ya KIZA na NURU. Haidithi ya Boko Haram na zingine mfano wake ni mfano hai juu ya maneno ya mtukufu wa daraja (SAW) aliposema zama karibu na Kiyaam, watu watakuwa WAJINGA MNO. Muumba atuhifadhi na hali hiyo.

Najiuliza ni kipi wanacho fanya Boko Haraam kinaonekana ni cha Kiislam kiasi waumin wa kiislam kusimamia kidedea jambo hilo na kuliunga mkono kama ni la kwetu? Ni kama vile waislam tunacheza MUZIKI USIO WA KWETU na huku tukijinasibu na kujisifia kana kwamba ni  wa kwetu na unavionjo na ladha ya kiislam. Si kweli. Lakini yapi maarifa yetu mpaka tunafika hapa na kuwashabikia Alshabaab na akina Boko Haram?

Wednesday, May 14, 2014

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI ZA MIKONO


Kama ambavyo tutakavyo ona Freemason na wenzao wanaabudu miungu wengi katika majina mengi tofauti, katika kutekeleza ibada hizo au kuonesha utii kwa miungu hao, maadui zetu wamechagua njia mbalimbali, alama mbalimbali zikiwemo hizi zinazo fanyizwa kwa kutumia viungo vya mwili.


Freemason wote wa YORK RITE, SCOTTISH RITE, SKULL & BONES, na katika kila asasi ya siri za kishetani kwenye mstari huu wa Illuminanti, wanayo aina fulani ya kusalimiana na aina fulani ya alama zinazo fanyizwa na mikono yao, alama hizo huwa na maana mahususi kwa wanachama.

FREEMASON NA ALAMA ZA SIRI ZA MIKONO Pt. II

Tunaendelea pale tulipo ishia ....


Alama ya ‘Entered Apprentice’ au daraja la kwanza au First Degree kwa Blue Lodge,au pia inafahamika kama daraja la kwanza kwenye blue degree, inayo fanywa na mwanachama wa daraja hilo, wakati anapoingizwa kwenye jumuiya, alama hiyo, kama inavyo oneshwa na picha hapo chini, huelezea au kuelekeza wakati mwanachama anapo chukua kiapo chake kwa mara ya kwanza ndani ya hekalu la kimasonia kukubali kujiunga na jumuiya hiyo.




“Mkono wangu wa kushoto unaishikilia Biblia na mkono wangu wa kulia upo juu ya Biblia”

Hivyo ni kwa mwanachama  ambaye imani yake ni ile ya Kikristu, mwislam atafanya hivyo kwa Quran, na wengine kulingana na vitabu vyao vya kidini.

Monday, May 12, 2014

PICHA ZA UCHI NA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME!!!!

UNAIKUMBUKA HII PICHA?

Helo Guys!

Nadhani mpo vizuri, nami niko safi ila majukumu yanaongezeka, lakini si neno, napambana.

Leo kidogo mtaniwia radhi kwa posti hii, kuna post nyingine ambayo tayari kabisa ambayo inazungumzia ‘Ugaidi na Uislam,’ lakini imebidi niiweke ‘Pozi,’ kidogo niwaletee hii, halafu then nitawatupia na hiyo muda ukifika.

Nimewataka radhi si kwa sababu ‘posti’ hii haiendani na maudhui ya blogi yetu, hapana inawiana sawia, hasa ukiwatizama ni akina nani hao, wanao simamia mitandao ya porn duniani na madanguro ya kimataifa na biashara ya watumwa wa ngono, tupo sahihi kabisa, ila nimeomba radhi sababu posti hii ya leo inakwenda moja kwa moja kwenye maisha yetu ya kila siku.

Saturday, May 3, 2014

BAADA YA IMF na WB nini KINAFUATA ...



Benki ya Dunia (WB) inakopesha fedha kwenye nchi za dunia ya tatu kwa ajili ya kuratibu na kuendeleza miradi ambayo inahitajika kwa manufaa ya nchi ‘wahisani’ a.k.a nchi wadhamini.  WB inapowezesha kifedha miradi ambayo haina tija wala manufaa yeyote kwa wakazi wa eneo husika; utambue kuwa na uchumi wa eneo hilo unazoroteshwa.