Bahati mbaya sana kwa wakazi wa dunia kila mpango wa uliofanywa na maadui zetu unakwenda kama wanavyo taka wao, New World Order iko wazi, lakini ni kwa wale walio huru kiakili ndiyo wanayo weza kuiyona, wengine tunasubiri itangazwe rasmi. Lakini nikipi hicho kilichoko kwenye New World Order?

Mpango mchafu, mweusi mbaya na hata usiofikirika kwa mtu wa kawaida ni KUPUNGUZA idadi ya watu duniani kwa asilimi 90! Iliasilimia 10 itakayo baki iwiane vizuri na mazingira yake. Kwa kutumia njia mbaya na kushinda mnyama. Hapo utakutana na Nyota ya Kijani, Mpango wa uzazi salama, elimu ya ngono mashuleni, vyakula na madawa yanayotiwa dawa na visababishi vya ugumba kwa siri, virusi na maradhi ya kutengeneza maabara kama ebola, ukimwi, chanjo za aina kwa aina, vita kila kona ya dunia na mapango wa WWIII, ukame na majanga mengine ya kutengeneza tunayo dhani ni ya asili.

Kisha idadi ya watu inayotakiwa ikisha fikiwa ajenda itawekwa hadharani ikiwa na Serikali Moja ya Dunia (Serikali ya Kishetani), Dini moja kwa watu wote (Dini ya Kumuabudu Shetani) Jeshi Moja la Dunia (Kwa ajili ya kupambana na wale watakao taka kuipindua serikali hiyo) Sarafu moja kwa dunia nzima, na wananchi wote wakuwa na Microchip kwa ajili ya kufuatilia nyendo za kila raia masaa 24/7.

Kifupi ni kuuwa asilimia 90 ya binadamu wote, na kutawala nyanja zote za maisha, na kumtawala kila mtu na kila kitu kutoka siku unazaliwa mpaka unaingia kaburini!

Wakati unafikiri hilo haliwezekani mpango huu umeshakamilika kwa zaidi ya asilimia 90%

NAIKUBALI HII

NJIA YA MATUMAINI KWA TEJA WA PORNOGRAPH

Hichi ndicho anachokisema Mwanasaikriatiki wetu Norman Doldge, “Ukurasa wa nyuma kwenye jarida la wanaume liitwalo Risque na kuras...

Thursday, July 18, 2013

SOMA LA NAMNA YA KUCHAPA MAONI YAKO KWENYE BLOGI HII


BLOGI HII INATUMIA KIFAA KINACHO FAHAMIKA KAMA ‘DISQUS’, UNAWEZA TEMBELEA UKURASA HUU KUJIFUNZA JUU YA KIFAA HICHI NA FAIDA ZAKE, http://community.disqus.com/


HIKI NI TOFAUTI KIDOGO NA VIFAA VINGINE VYA KUTOLEA MAONI KWENYE BLOGI NA MITANDAO MINGINE, KWA SABABU CHENYEWE KINASIMAMA KAMA MOJA YA MITANDAO YA JAMII.
JKWA VILE UTAKUWA UMESHATEMBELEA UKURASA HUO NILIO UTAJA HAPO JUU, SINA SABABU YA KUELEZEA FAIDA ZAKE, HIVYO MOJA KWA MOJA NITAKWENDA KWENYE ‘KNOW HOW’
UNAPOFIKA MWISHO WA POST ULIYO ICHAGUA KUSOMA, MATHALANI ULIKUWA UNASOMA POST HII, JE KANUMBA ALIWAHI KUWA NI FREEMASON?

MWISHO KABISA WA POSTI UTAKUTANA NA VITU HIVI, WEKA KASA YAKO KWENYE SEHEMU INAYO KUTAKA KUTOA MAONI ‘LEAVE A MASSAGE’..




 KIDIRISHA KILICHO ANDIKWA COMMENTS KITATANUKA ZAIDI NA KUONEKANA HIVI


CHAGUA AKAUNTI AMBAYO INGEPENDA KUITUMIA KUWASILISHIA MAONI YAKO KATI YA HIZO ZINAZO ONEKANA, KWA AJILI YA SOMO HILI MIMI NITACHAGUA AKAUNTI YANGU YA FACEBOOK, HIVYO NITABOFYA PALIPO NA NEMBO YA FACEBOOK, KIDIRISHA HICHI HAPA KITATOKEA NAMI NITAINGIA KWENYE AKAUNTI YANGU YA FACEBOOK,


BAADA YA HAPO KWENYE KIBOKSI CHA  ‘DISQUS’ CHA KUTOLEA MAONI KITABADILIKA NAMI NITAKUWA NAONEKANA PALE NA AKAUNTI YANGU TAYARI KABISA KUCHAPISHA MAONI YANGU KAMA HIVI

LAKINI HAPO NI KWA YULE AMBAYE TAYARI ANAYO AKAUNTI NDANI YA ‘DISQUS’, TUASHUMU HAUNA AKAUNTI NDANI YA DISQUS NA HIVYI NDIVYO ITAKAVYO KUWA


HAPA NITATUMIA KAUNTI YANGU YA GMAIL AMBAYO HAIJASAJILIWA NA ‘DISQUS’, KABLA SIJAKWENDA KWENYE KIBOKSI CHA KUTOA MAONI KWANZA INAIFUNGUA AKAUNTI YANGU HIYO KWENYE UKURASA MWINGINE, YAANI NA LOG IN KWENYE AKAUNTI YANGU YA GMAIL KABISA, KISHA NARUDI KWENYE KIBOKSI CHA KUTOA MAONI, NA NITAKAPO BOFYA KWENYE ALAMA YA ‘g’ HICHI NDICHO KITAKACHO TOKEA.


IKIWA HAUJAIFUNGUA AKAUNTI YAKO KATIKA UKURASA MWINGINE, HICHO HAPO JUU, NDICHO KITAKACHO ONEKANA.

LAKINI ENDAPO ULISHAIFUNGUA AKAUNTI YAKO KWENYE UKURASA MWINGINE, HICHI NDICHO UTAKACHO KIONA, MOJA KWA MOJA BOFYA KWENYE 'ACCEPT'


 KUMBUKA HUNA AKAUNTI NA DISQUS, HIVYO ITAKUTA UJISAJILI KAMA IFUATAVYO.



Utakacho fanya ni kuingiza PASSWORD yako kwa ajili ya akaunti ya ‘DISQUS’ na baada ya hapo utakuwa umemaliza, kidirisha hicho kitaondoka na utaona akaunti yako ndani ya kiboksi cha kutolea maoni cha DISQUS NA UTATOA MAONI YAKO KWA RAHA ZAKO.
UWANJA NI WAKO SASA .... TOA MAONI YAKO KUHUSIANA NA POST ZA BLOGI HII

Wednesday, July 17, 2013

OBAMA ALAZIMIKA KUMFUFUA OSAMA BIN LADEN






Niliisha kwisha kuelezea katika makala zangu zilizo tangulia, ambazo zilichapishwa wenye gazeti la mtanzania kuwa kuna uwezekano mkubwa Bin Laden alishakufa tangu 2001, lakini maadui zetu hawatatangaza kifo chake mpaka watakapo maliza kazi na jina lake.

 Nilisema hayo nikiambatanisha na ushahidi wa kutosha wa namna gani Osama anaweza kuwa ameshakufa kuliko kuwa hai, na nikaongezea kuwa maadui zetu watakapo maliza kazi na jina lake hawatosema wamemkamata bali wamemuua, tena kwa kikosi maalum.

Tuesday, July 16, 2013

ONYO! USITUMIE MBEGU ZA KISASA

Watu wachache kabisa na wamiliki wa kampuni chache tu, lakini kampuni kubwa mno duniani, watu hao nyuma ya kampuni hizi wanafanya kila wawezalo usiku na mchana kumiliki kila punje ya mbegu iliyopo kwenye uso wa dunia.

Msukumo wa mbegu za kisasa dhidi ya zile za asili ni mkubwa mno katika dunia ya leo kupitia matangazo ya biashara na taasisi za kiserikali. Kiasi kwamba inaonekana tegemeo la dunia ijayo kwenye chakula lipo kwenye mbegu za kisasa pekee.

Thursday, July 11, 2013

TAHADHARI ... MBU KUTUMIKA KUCHOMA CHANJO!!!!!


Bill Gate kwenye enterview ya mwaka 2011 kwenye CNN, alizungumza kwa mapenzi makubwa naman ya kupunguza idadi ya watu duniani kwa njia ya chanjo, na akisisitiza namna gani chanjo itasaidia kupunguza idadi ya watu, na hali ya watu kuimarika kiafya na kiuchumi kama idadi yao itapungua.
Lakini Gate akaenda mbali zaidi ‘extra mile’ na kuzungumzia ubunifu ambao anadhani utakuwa na tija katika kufanikisha suala zima la chanjo, hasa kutokana na kuwa watu wengi, walengwa katika nchi zinazo endelea kama ya kwetu kugutuka na kuwa wabishi kupoeka chanjo.


Wednesday, July 3, 2013

MAANA HALISI YA 666

Wapendwa!
Tarehe ambayo 666 Ilikuwa ubaoni ....

Sehemu hii ndogo kuhusiana na nambari 666 nimeitoa kwenye, sura moja ndani ya kitabu kinacho kwenda kwa jina la “FREEMASON; Dunia usiyo ifahamu”

kitabu hichi ni nimeandika mwenyewe, na soon Maulana akipenda mtakiona mtaani, hivyo sehemu hii kuitoa kwenye kitabu na kuwamegea ni zawadi kwenu wasomaji wangu, please ipokeeni ....

.... Kwa watafiti huru wa mambo ya UFO na New World Order ni kuwa serikali na ‘sayansi’ wanapigia debe taarifa hizo kwa lengo lilelile la New World Order ambayo kiongozi wake atakuwa na ‘damu takatifu’ na mwenye nguvu za maajabu.

Mmoja anaye tegemewa ni wazo ambalo liko kwenye imani ya dini mbalimbali duniani, ikiwemo kwenye Uyahudi, Uislamu na Ukristo na bila kusahau kwenye imani na dini za kishetani ukiwemo Freemasons.

Monday, July 1, 2013

TAHADHARI NA CHANJO!!!!!!!! pt 4



Wanasayansi wa illuminanti lutoka kwenye makampuni yao kama vile I.G. Farben, BASF, Hoechst, Dow na Bayer, ambao pia walihusika na kutenegeneza vyumba vya gesi ambavyo waliwachoma humo watu ambao kwenye historia wanafahamika kama ‘wayahudi’ ingawa ni upotoshaji wa hustoria, hawakuwa wayahudi bali Khazri, lakini pia walitengeneza chanjo ambazo kwa Khazari walitumiwa kama panya wa maabara.